Pale kipadi ya simu inapoisha

Mwenye hii simu atakuwa na elements za kipareee.
Cc Evelyn Salt hahahhaa mchambuzi wa makabila
 
Mwenye hii simu atakuwa na elements za kipareee.
Cc Evelyn Salt hahahhaa mchambuzi wa makabila
Na wewe una element za uchochezi, ukabila na uvunjifu wa amani
 
Acha usanii wewe, unatuona mabwege sio?! Simu inaonekana kwa juu bado mpya; maandishi ya tecno yanasomeka vizuri hakuna hata michubuko. Au unataka kutupima uone tuna mtazamo gani.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…