Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,822
- 5,415
mbona haibadiliki hapa kwenye red
pc, yaani zaidu ya dk.5 sijaona mabadilikinabadilika mkuu,unatumia simu au pc
pc, yaani zaidu ya dk.5 sijaona mabadilik
pc, yaani zaidu ya dk.5 sijaona mabadilik
jaribu kurefresh
Mkuu naomba link za kudownload series za Korea
Tafuta thread yangu ina title WEWE NI MGONJWA WA SERIES? Utapata kibao tu
mkuu mm shida yangu ni kufungua mafaili yaliyo katika rar. format nayafunguaje?Fuata step hizi hapa
ukishabofya hiyo link itafunguka page kama hii
View attachment 223768
subiri kama sekunde 5 hivi,hiyo sehemu niliyozungushia duara itabadilika na itatokea hivi
View attachment 223770
baada ya hapo bofya hapo nilipozungushia duara pameandikwa skip
baada ya hapo vitabu vyote utaviona hapo
Kama nilivoeleza hapo kwenye title kama wewe ni mtumiaji wa computer na unapenda kujifunza au kujiendeleza zaidi katika proffesional nilizotaja, bofya link ifuatayo afu chagua folder la taaluma unayopenda, ndani utakutana na vitabu vingi katika format ya PDFna utajisomea.
LINKNI HII HAPA >>>>p.pw
mkuu mm shida yangu ni kufungua mafaili yaliyo katika rar. format nayafunguaje?