Hiyo mkuu ina balaaa...Aisee Mkuu hii kitu ni balaa inagonga kama sony music theatre 1000watts...
Naona kuna mdau hapo anasema ina play na video lakni nikijaribu ku play video inatoka audio tu....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo nimekuelewa mkuu halafu naona baada ya ku install imekuja na nyimbo nyingine inakuaje hapa kuna ubaya nikizifuta....Hiyo mkuu ina balaaa...
Video ina play audio tu mkuu..ndiomana mimi sija mark folder la videos
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Hizo nyimbo sio za kweny simu yako? Anyway zifute tuHapo nimekuelewa mkuu halafu naona baada ya ku install imekuja na nyimbo nyingine inakuaje hapa kuna ubaya nikizifuta....
Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa haiko serious hivi unaijua jetaudio?Wakuu,kumekua na music player tofaut za simu zetu,ila hadi sasa sizan kama kuna wa kuipita Poweramp...
Tangu enzi za symbian hii player ilkua yamoto..na ilikua ngumu sana kuchakachua..
Jinsi ya ku install,anza kuinstall unlocker kisha malzia na poweramp yenyewe..
View attachment 848786View attachment 848787
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Nimetumia nokia navigator 6210 s60v3 hii ni symbia kitambo hicho hii app nilishawahi itumianila sijuona raha yake mfano hauwezi kutumia player at full screen ukiwa umelock simu lakini jetaudio+ unauwezo huo pia jetaudio inauwezo wa ku tune earphone zako zikakapiga kwa muundo wa earphone zozote duniani mfano BEATS za dre na nyenginezo na ina option nyingi mno ambazo kwenye power amps zijaziona zaidi nilichoona ni ina themes nzuriJet audio huez fananisha na poweramp,wanao ijua poweramp wanaelewa hili mkuu...hii tupo nayo tangu enzi za symbian tunaijua vzuri poweramp.
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Video inaplay lakini haioneshi...kwa mimi ambaye nina video tu huwa naenjoy sina haja yakuwa na audio kwenye simu ndio niweze kuitumia hii player only video inatosha kunipa ninachokitaka...Aisee Mkuu hii kitu ni balaa inagonga kama sony music theatre 1000watts...
Naona kuna mdau hapo anasema ina play na video lakni nikijaribu ku play video inatoka audio tu....
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefanya installation kama ulivyosema ila kila nikijaribu kuifungua inaandika "unfortunately power ramp has stopped working"Jet audio huez fananisha na poweramp,wanao ijua poweramp wanaelewa hili mkuu...hii tupo nayo tangu enzi za symbian tunaijua vzuri poweramp.
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Nimetumia nokia navigator 6210 s60v3 hii ni symbia kitambo hicho hii app nilishawahi itumianila sijuona raha yake mfano hauwezi kutumia player at full screen ukiwa umelock simu lakini jetaudio+ unauwezo huo pia jetaudio inauwezo wa ku tune earphone zako zikakapiga kwa muundo wa earphone zozote duniani mfano BEATS za dre na nyenginezo na ina option nyingi mno ambazo kwenye power amps zijaziona zaidi nilichoona ni ina themes nzuri
Unatumia simu gan mkuuNimefanya installation kama ulivyosema ila kila nikijaribu kuifungua inaandika "unfortunately power ramp has stopped working"
Shida nini au ndo wanataka ninunue playstore?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona hyo ku tumia player full kweny lock screen ni minor feature sana,kuhusu upigaji kama wa earphone za beats na zingine,mi nafkri kama una earphone mbovu ni mbovu tu,usitegemee utapata beats experiance kweny ofia,
Ukitaka kuenjoy tafuta earphone zinazoeleweka tu kisha set sound yako.
Kwangu poweramp ndio best player hadi sasa..pia angalia rate,reviews,na downloads za hizi apps ,utajua poweramp ndio pendwa,View attachment 849035View attachment 849036
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Natumia Samsung galaxy s8!Unatumia simu gan mkuu
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
kwenye review si shida mkuu shida ni kwamba watu wanaoitumia ni wachache labda naweza sema hawajui features zake .au ni kutokupenda tu
Na hapo kwenye earphones nimeweka kama main feature ambayo kiukweli kwemye power amp sikuwahi kuiona hio feature halafu mm situmii earphone natumia headphones hizi (Sennheiser HD 4.40 BT)
Uko serious? Unaitaka kwenye ios? Kama jibu ni ndio kwanza jua ios hauwezi chukua kitu nje ya market na poweramp iliyopo kwenye market ni kama hii hapo chini kwenye picha.na sis wenye ios
Sawa mkubwa!Mkuu jaribu ku wipe cache za power amp kisha run tena uone nini kitatokea
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Aisee bado inagomaMkuu jaribu ku wipe cache za power amp kisha run tena uone nini kitatokea
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Basi huenda unahitaji latest apk,,,jarbu kufuta iliyokuepo na uache unlocker pekee,kisha download poweramp kutoka playstore,,shida ya kufanya hivi unaweza usifanikiwe kuichakachua...so ikifell itabd unununue tu kama utaweza