Pakua Poweramp player isiyo na mpinzani

Kwa nini umenunua kwani hii aliyoweka jamaa haifanyi kazi tena au ni kwako tu ndio inasumbua mkuu...?

Zilizo crack-iwa kujumlisha na hii huwa nikijaribu baada ya wiki mbili wanasema tena cant verify purchase. Kwahiyo nimeoma nijitoe tu ninunue. Labda tatizo ni kwangu jaribu labda kwako inafanya kazi.
 
Mi nikadhani mnaweka link ya hio app hapa tuipakue kumbe ni mastor tu Wekeni link hapa au mwenye nayo isiyo ya kilipia naomba msaada anitumie wasap au tereglam kwa no. 0756695846
 
Mbona kila kitu kimewekwa hapo...au huon vzur mkuu
Mi nikadhani mnaweka link ya hio app hapa tuipakue kumbe ni mastor tu Wekeni link hapa au mwenye nayo isiyo ya kilipia naomba msaada anitumie wasap au tereglam kwa no. 0756695846
 
Nimeipenda ila Naona inauzwa hii ya trail imeisha mda wake mwenye crack Naomba anitumie is wasap au tereglam kwa 0756695846 nitashukuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…