Pakua Microsoft Office 2016 na 2013 hapa

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,744
25,447
Shikamoni wanajukwaa la TEHAMA.
Niendee moja kwa moja kwenye mada.Nilikuwa naomba mtu yeyote anayejua link ya ku download Microsoft Office toleo la
2016 aau 2013 nina shida nazo sana.
Asanteni
 
Mkuu naona Office 2016 zilizopo ni 64 Bit msaada za 32Bit [Au sielewi sijui]. pia kuna tofauti gani kati ya open office na microsoft Office.
Je zina activation? Msaada please.
Mkuu 32bit imeshapitwa na wakati makampuni mengi yanaacha kui support, computer yako kuna uwezekano inakubali 64bit ila aliyekuekea windows ndio hafahamu anachofanya. Inatumia processor gani? Unaweza kwenda my computer kisha right click then properties kuona.

Open office ni ya bure na haihitaji activation na microsoft office ni ya kulipia hii inahitaji activation.

Utofauti ni kwamba microsoft office ina features nyingi zaidi na compability kubwa ya vitu kama printers compare na software nyengine za office.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…