Wandugu,nna madish 2ya ft 6,na receiver ya strong 4653x,nataka kuset satellite hizo hapo,naanzaje?mi najua tu dstv ipo 36'E,na hiyo paksat iko karibu yake au?na vp kuhusu amos 5,nani amewahi kuipata au kuitumia?maji yamezid unga na mimi nna ham ya ugali sitaki uji jamani
Thaicom 5 @78'E ni C-Band sio KUnimekupata kaka,ila unapozungumzia lnb tilt,hapo ndo umeniacha mbali sana kaka
nimekupata kaka,ila unapozungumzia lnb tilt,hapo ndo umeniacha mbali sana kaka
kaka,mi naitaka optima sports,nlisikia yaonyesha premier,na ptv katika paksat ir nayo nasikia yaonyesha premier,sasa hapa kuna kitu sijaelewa,paksat 1r nayo dish yake yatazama juu kama dstv au?maana iko karibu na dstv kwa angle,maana kuna siku nliona fund ametumia 6ft kupatia dstv,likawa limetazama juu sana,swali lingine,angle 17e naipatia wap,kulia kwa dish la mbc la engle saba au?