Ndugu Afghanistan wanauwa na majeshi ya NATO na wenyewe kwa wenyewe, lakini Pakistan wanauwana wenyewe kwa wenyewe, wanauawa na majeshi ya NATO, wahindi na Taleban. Gailan aache kukumbatia wamarekani akidhani silaha anazopewa zitamsaidia kupambana na adui yake India. India inasonga mbele kiimaendeleo wao wanang'ang'ana kutafuta silaha na fedha kutoka kwa madhalimu.
Poleni sana wananchi wa Pakistan msiyokuwa na hatia.