figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,177
- 64,553
Watu 14 wameuawa katika mlipuko wa mabomu Kusini Magharibi mwa Pakistan
Watu wasiopungua 14 waliuawa na 15 wamejeruhiwa leo Ijumaa katika mlipuko wa bomu kwenye soko la Quetta, mji mkuu wa Baluchistan, mkoa kati ya mikoa ya Pakistan unaokabiliwa na mdororo wa usalama, mamlaka imesema.