sinauhakika juu ya ukweli wa views zako, but, ki intelijensia inaonesha kuwa suicide bombers wengi hutumia electeonic mombs zinazokuwa detonated na kitu kinachofanan na cellphone. Sasa kwa kuwa on friday kunakuwa na mikusanyiko mikubwa huko pakistani na mabomu mengi ya suicide hulipuliwa, ndo maana wanachukua tahadhari ili kupunguza casualities.