Pakistan school attack

Status
Not open for further replies.

Binafsi Nina mawili. Mosi si kweli hawa magaidi wamepotoka. Magaidi hawa wanafata dini inavyotaka kwa usahihi kuliko wanaojiita moderate. Ukitaka kijua hili tazama historian yao, alishaiweja hapa vasco da gamma. Ukumbuke kuwa uislamu haujawahi kuwa na reformation.
Hivyo miongozo mingi Inaegemea kwenye asili na mazingira ya zamani wakati dini inaenezwa.

Pili kwa kuwa wao neno likiandikwa kwenye Koran huwa hawawezi kukataa. Ndio maana hawawezi pinga wale wanaoeneza dini kwa kuchinja watu. ImeRuhusiwa..
Shida inawakabili ni pale wanapogombana wao kwa wao. Kwani hawana suluhisho zaidi ya wao kuchinjana.
Pia ukiwa so mwenzao ni rahisi wakakuchenjia kuwa wewe ndio chanzo. Dawa yao ni kuwaacha kama Isis wawe wanafunguana bucha wenyewe.
 
Last edited by a moderator:

Wabunge wa urusi wameweza kutambua ukweli kihusu uislamu , wewe umeamua kutukana, sina cha kukusaidia , bali endelea na msimamo wako, kila la heri
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1418922734112.jpg
    62 KB · Views: 33
incharge Kama ni kujitukana watakuwa wanajitukana wenyewe.
Wanapokeketa wanawake wanateka wanawake. Wanajichaguli wake humohumo. Wanachinja watoto.wanaua wasio waislamu.Isisbokoharam,ashshabaab,Taliban,alqaeda,Hama's etc
Duniani tunao muslim Wanaojiita moderate lakini ukweli ni kuwa hata hao moderate hawaonyeshi kupinga ugaidi. Kama wanavyopinga filamu ya innocents of Muslims ama fatwa kwa salman rushdie, au walivyopinga seneta wa marekani alivyotamka kuwa uislamu ni kansa ya dunia.

Kiujumla Hawaonyeshi kuwa wale magaidi ni waovu. Ama wanachafua uislamu wao.

Bali wanataka ku-justify uovu wao kwa kulinganisha na nchi za west. Ambapo hata uislamu haujaota mizizi kwao. Wakijua kuwa western ni secular States.
Wakati wakimbizi wa kiarabu wanakimbilia Ulaya mgharibi ambapo kumekuwa ni safe heaven every single day.
Kwa mfano; hakuna gaidi aliyepo ulimwenguni Leo hii anayeua innocents ambaye sio mwislamu.

Taja mAkundi yote utakuta yana majina ya kiarabu na yote yanavaa kiarafat.(ninja)na mbinu zao ni zilezile. Kuvamia maeneo ya RAIA na kuchinja watu kama majambazi na kujitangaza kuwa ni wao. Ili wajenge hofu(terror) katika jamii. Na zaidi ya yote yanajitamba kuwa wao ndio waislamu. Niliweka ayati za kora. pale juu..kuonyesha msingi wao ulipo. Kama una tafsiri tofauti na hii you may tell us.

Wabunge wa Russia hawakujadili Koran. Wamejadili politics. After all Moscow Imekuwa victim. Wa ugaidi wa chechnyia. Na marekani imekuwa ikiwakosoa russia kama ambavyo imekuwa ikikosoa mbinu za China wanapokabiliana dhidi ya wale magaidi separatists wanaopambana nchini kwake.
Ndio maana hata mataifa hata mawili hayamuungi mkono marekani direct kwenye Vita dhidi ya Isis. Kwakuwa yanajiona pia hayaungwi mkono.

Kaa ukijua siku hawa wakubwa wakingana ugaidi utaisha.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…