Pakistan: Mama amchoma moto bintiye hadi kufa kwa kuolewa kinyume na matakwa ya familia

Zurie

JF-Expert Member
Jul 6, 2014
2,002
5,534
Mama mmoja huko Lahore, Pakistan amchoma moto mwanae akiwa hai hadi kupelekea kifo chake kwa kosa la kuolewa kinyume na matakwa ya familia. Familia ya binti huyo aitwaye Zeenat haikukubaliana na chaguo lake la mwanaume hivyo mama yake alimfunga kamba na kummwagia mafuta ya taa kisha kumchoma moto.

Majirani walisikia kelele za binti huyo na wakaenda kwenye nyumba hiyo kujua ni nini kinatokea lakini wanafamilia hawakuwaruhusu kuingia ndani.

Mama na mjomba wa binti huyo walimfuata kwa mumewe huyo siku tatu kabla ya kifo chake na kumshawishi kurudi nyumbani ili wakafanye mpango wa kuwa na ndoa halali inayokubalika na familia na mumewe huyo anasema anakumbuka mkewe akisema, "Usiniruhusu kwenda nao, wataniua".

Mama wa binti huyo amekiri kosa hilo na kusema alishirikiana na kaka wa marehemu aitwaye Ahmar na alinukuliwa akisema "Sijutii kitu chochote".

========================================

A woman in Pakistan burned her 17-year-old daughter alive on Wednesday to punish her for marrying against the family’s wishes, the latest in a series of so-called “honor killings” that claim the lives of nearly 1,000 women every year in the conservative Muslim country.

Police say Zeenat Rafiq’s mother, Parveen, tied her to a cot and drenched her with kerosene before lighting her on fire. Neighbors in the congested, working-class neighborhood in the eastern city of Lahore came running when they heard the screams, but family members kept them from entering the house, said Nighat Bibi, who lives nearby.

The police eventually arrived and found the charred body near a staircase. They arrested the mother soon thereafter.

The victim’s husband, Hassan Khan, told reporters the two had been “in love since our school days” but the family had rejected several marriage proposals, forcing them to elope last month. He showed an affidavit of consent signed by his wife before a magistrate. He also showed cellphone photos of a smiling Zeenat wearing a red dress.

Sheikh Hammad, a local police official, said Parveen confessed to killing her daughter with the help of her son Ahmar. He quoted the woman as saying “I don’t have any regrets.” Another police officer, Ibadat Nisar, said the body showed signs of beating and strangulation.

Hundreds of women are killed every year in Pakistan -- often by their own family members -- for violating the country’s conservative norms regarding love and marriage. Sex outside of marriage is seen by conservative Pakistanis as a stain on the honor of the woman’s entire family, one that can only be removed by killing her.

Last week a schoolteacher, Maria Bibi, was set on fire for refusing to marry a man twice her age. The prime suspect in the case — the father of the man she refused to marry — and the other four are in custody.

A month earlier, police arrested 13 members of a local tribal council who allegedly strangled a girl and set her on fire for helping a friend elope. The charred body of 17-year-old Ambreen Riasat was found in a burned van.

Khan, the husband of the woman killed in Lahore, said her mother and uncle had visited her three days ago to try to persuade her to return home and have a marriage ceremony with the family, so that she wouldn’t be branded as someone who had eloped. He recalled his wife telling him: “Don’t let me go, they will kill me.”

Source: USAToday
 
Kuna watu wamelelewa kiukatili aisee mh! yaani kuua anaona ni sawa tu, ama kweli hiyo siku ya mwisho tutajibu mbele ya mwenyezi Mungu
 
Eneo la Asia ya Kati nadhani ndio eneo lenye binadamu makatili zaidi duniani angalau kwa kizazi chetu hiki. Kwao kuuwana, kujilipua, mauwaji ndani ya familia wenyewe kwa wenyewe, etc. it's normal. Hicho kipande hicho Mashariki mwa Bahari ya Shamu all the way to Bangladesh na North of Indian Ocean from Sri Lanka to South of Caspian Sea kitovu kikiwa Pakistan, Afghanistan, na North India kina watu wasio wa kawaida when it comes to "binadamu kuvumiliana na kusameheana". Haya maneno kwao ni mwiko!

Nikiwa kwenye safari na ndege inapokuwa inakatiza maeneo hayo huwa najihisi kama niko kuzimu; najiona siko salama tofauti na inapokuwa imemaliza India/Bangladesh kuingia Vietnam, China, na mataifa mengine ya Asia au inapokuwa imeingia ndani ya mipaka ya Ulaya.
 
Back
Top Bottom