miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,110
ha haha hajamani jirani zangu
ndiyo mkuu acha tu nichekehata wewe unatucheka, dada zetu wanaenda kenya, jirani zetu wamarangu mnakuja rombo
Mimi nimewahi kusikia jina hilo na wanalitumia sana huko ingawa sijajua wanatoka sehemu gani ya kilimanjaro.
Wachaga wa marangu mamba hao wanaitwa mamboro
Kibosho mkuu wanaume wanatumia Mboro Na wanawake Mamboro ni ukoo huko kibosho
MBORO ni ukoo wa kimachame
wanaume wanaitwa MBORO wanawawake wanaitwa MAMBORO
Machame, Kibosho au Marangu?
Wachaga wa marangu mamba hao wanaitwa mamboro
MBORO ni ukoo wa kimachame
wanaume wanaitwa MBORO wanawawake wanaitwa MAMBORO
Machame, Kibosho au Marangu
?
hata wewe unatucheka, dada zetu wanaenda kenya, jirani zetu wamarangu mnakuja rombo
hapana hili ni jina la ukoo na huwa halifi miaka 800Hahahahahahaha lol! Nadhani miaka hii haya majina yatakuwa yamepoteza umaarufu kama miaka ya nyuma.
Paka wa rombo nidhamu 100%.Paka aina hii wanatafutwa/wanahitajika sana na hawapatikani pengine popote ila rombo tu!