Paka wa Rombo

Daah, Rombo watajuta. Ila hili neno Rombo ukileguez geuza una pata somethng kama rocket hiv

Mimi nimewahi kusikia jina hilo na wanalitumia sana huko ingawa sijajua wanatoka sehemu gani ya kilimanjaro.
 
soma haraka haraka


ROMBOROMBOROMBOROMBOROMBOROMBO
 
DA nimecheka sana kwi kw kwi kwi kwi kwi kwi mkwi
 
Ungrkuwa huko hadi leo, ungepata ajira ya pili

Ha ha ha, wale walikuwa wanapenda kuoana wao kwa wao ni siku hizi tu ndio wamebadilika wanaolewa na makabila mengine. Zamani walikuwa wanatuita waswahili alafu wanasema sisi waongo sana. Na ikitokea binti anampeleka mswahili kwao basi huyo binti huenda akaingia matatizoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…