Jamaa alimchukua paka wake na kwenda kum2pa mbali aliporudi akakuta paka amesharudi akakacrika sana cku ya pili akamchukua na kwnd nae zaidi ya kilomita 50 akakata kulia akakata kushoto akanyoosha kisha kulia kisha kushoto akam2pa akaanza safari ya kurudi baada ya muda akapiga cmu kwa mkewe nyumbani,
JAMAA: mke wng vp huyo paka yupo?
MKE: ndio mume wng ka2lia hapa kwani imekuwaje?
JAMAA: hebu mpe cmu anielekeze njia ya kurudi nyumbani maana mie nimepotea.