OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 3,656
- 9,271
Niliandika uzi kuhusu utata wa OKRAH kuumia na taarifa ya daktari wa yanga kuwa na utata, nkaandika kuhusu kauli ya kocha GAMOND kuwa yanga haina kikosi kipana, nkiunganisha na tukio la skudu kuanguka mwenyewe na kuomba atolewe, pia sub zilizofanyika baada ya yanga kukandwa goli lingine nadhani nimeelewa picha halisi. niseme tu kuwa YANGA HAWAKUTAKA KUSHIRIKI HAYA MASHINDANO NA HAWAKUTAKA KUONYESHA WAZI KUWA HAWATAKI WALITUMIA HEKIMA NA AKILI NYINGI haya ni maoni yangu.