Paji la uso na siri ya jicho la tatu

unaweza usiamini lakini ndivyo ilivyo yule dada aliniambia naomba iwe siri yako usije ukamwambia boy friend wangu wanaishi japo hawajafunga ndoa,na mpaka kukubali kwamba ni kweli maana sio siri ni uchafu nilioona kwenye ndoto,yan nilionyeshwa kila kitu alichopitia na madhara yaliyomtokea na nn hatima yake,kitu chakumsikitikia she can no longer conceive,na yeye mwenyewe amenithibitishia tayari ameshatembea hospitali nyingi sana ameambiwa vivyo hivyo.
 
you are completely right my friend,isipokua most of the explainations are based on scientific evidances but this is spiritual power,yaani hapa ndipo mahali ambapo hata mwanasayansi mwenyewe anakubali kwamba kuna mungu.
 
NA HII IPOJE HII YANI MKE WANGU HATA ALALE KWA TUMBO YAAN KIFUDIFUD LAZIMA ATAJIKUTA AMELAZWA CHALI YANI LAZIMA,YANI KWA MAELEZO YA MAMA MKWE TANGU AKIWA MDOGO ALIKUA HIVYO WAKIMLAZA KIUBAVU AU KIFUDIFUDI WANAKUJA KUMKUTA AMELAZWA CHALI,NISAIDIE HAPA
Ana mawasiliano na dunia ya rohoni inayokinzana na ulalo wake kwahiyo kuna jinsi anayotakiwa kulala ambayo ndio hiyo
 
Maelezo yako ni sahihi Kabisa
 
Thanks!Ndugu mshana kuna watu wanapuuzia sana vitu vya msingi ambavyo kuvidharau kwao kunawakosesha manufaa makubwa sana.Ingia kwenye jamii intelligence fungua uzi wangu wa siri ya rupia na baraka za mungu,swala la dini yangu usiliangalie kwani inawezekana ukawa upande wa pili.Binadamu ni kiumbe cha ajabu sana
 
you are completely right my friend,isipokua most of the explainations are based on scientific evidances but this is spiritual power,yaani hapa ndipo mahali ambapo hata mwanasayansi mwenyewe anakubali kwamba kuna mungu.
Uwepo wa Mungu ni imani kwa sasa kwa sababu sayansi haijaweza kupenya huko.

Kwa kutumia "jicho la tatu" inawezekana kumwona Mungu hata kuongea naye. Hii inatokana na kuunganisha uliyoyasikia na kuona, yakahifadhiwa kwenye ubongo, kutokana na fikra sadikika ukajenga taswira ya Mungu na makazi yake mbinguni.

Watu waliokufa kimwili, kwa muda mrefu, wanapozinduka huja na hadithi nyingi zikewemo za kufika mbinguni. Nakumbuka hata mimi niliugua sana na homa kali, katika siku 3 niliijiwa na ndoto nyingi tu zikiwemo za kuongea na ndugu waliotangulia mbele ya haki.

Labda itakuja siku sayansi itatufunulia mbinguni. Kwenye sayansi hakuna isilowezekana.
 
Ina maana wewe una talent ya kutabiri, nitabirie na mimi mkuu!
 
Weka link, nimejaribu siipati
 
...watu waliokufa kimwili kwa muda mrefu wanapozinduka...! Very very crucial point nimeipenda hii
 
Ina maana wewe una talent ya kutabiri, nitabirie na mimi mkuu!
ndugu haya mambo nadhani yapo kiimani zaid yani ni kama mafunuo flani (revelations)unaonyeshwa na mara nyingi ni kwa jamii uliyokaribu nayo sana,kama unachekigi season nenda kagoogle believe ni season inayoonyesha how the super natural power can function in human body base sana kwenye matukio ambayo boo adams aliepusha jamii yake.
 
Ahsante sana kwa ushauri wako mkuu
 
Kaka mshana hii kitu nshawahi kui activate.Please kaka hii ilmu usiitoe ishia hapo hapo.Nlipata shida mimi.Yan ukimcheki mtu hv waona jana yake...hata kesho na siku zinazofata kwake.
Viumbe visivoonekana na viona live(utaniuliza najuaje kwamba havionekani,lkn mda mda huo mtu uko very hyper sensitive wajua ambayo hata havi elezeki.
 
Mimi nakupata vema sana labda kwa wengine inaweza kuwa shida kidogo
 
Duuuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…