Paji la uso na siri ya jicho la tatu

Meditation...!
Mshana Nna shida kubwa mkuu! Nlikua nimepakua beat Fulani ya kufungua jicho la 3 nikakaa kwenye half posture huku naskiliza kwa headphone ilikua jumanne since then nyumba yangu naiona balaa, usiku naona kama watu wanatembea chumbani kwangu! Nkilala kuna mda naona rangirangi kuna mda naona 1111 ! Please help me nirudi kawaida, au naomba ni-pm namba yako nikupigie tuongee kwa kirefu
 
Endelea usiache tafadhali kisha naomba tuwasiliane kesho mchana nitakupm contact yangu
 
Hizo beat ulizpata wap mkuu namm nizitafute
 
senses nazo si zinapeleka msg zake kwenye huu ubongo wa mwilini kupata tafsiri. Ni kifikiri jicho la tatu is more spiritual than kimwili.
Vizuri sana bado jicho la tatu lina nafasi kiroho kwakuwa tuna dili na mwili wenye damu ulio hai kwahiyo hilo haliwezi kukwepeka
Tukizungumzia kimwili ama kiroho bado tutafika mahali hivi viwili vitakutana tuu
 
Mkuu japo Mimi sio mtaalamu lakini hakikisha kwanza sio WOGA.
 
Mkuu mshana jr asante kwa hii nimechelewa kuiona...Nataka kujua Siri ya watoto wachanga kwa baadhi ya Jamii kuchora alama nyeusi kwenye Paji ..la USO wa mtoto pia maBANIANI huwa wanachora kiakama katikati ya macho mawaili hii maanake yake nini kwamba wanaliamini sana hilo jicho latatu?
 
Ukweli mtupu huu ulioandika
 
Poa kaka hii kitu wanayofanya ni ya kiimani zaidi kumkinga na kumlinda mtoto na nguvu hasi zozote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…