Ningekushauri usibaki kusubiri tu maoni ya watu wa hapa JF bali ni vyema ukatembelea watu wenye utaalam na mambo ya magari. Ususani mafundi magari. Watakupa ukweli.
Asante wadau ila nimeongea na wamiliki wa hayo magari pia wanadai pajero ni matunzo tu...usiweke mafuta machafu na service on time pamoja kuweka vifaa genuine...bado naendelea na uchunguzi polepole ni gari nzuri sana