Pajero io(GDI) inauzwa

Hildafranc

Senior Member
Joined
Jan 29, 2015
Posts
103
Reaction score
32
Habari zenu wakuu
Nauza gari aina ya pajero io(GDI)
_Ya Mwaka 2002
_ Colour, Black
_1500cc
_ Mileage,211,000km
_Bei ...million 9.
Gari ipo ktk condition nzuri kabisa..Karibuni wakuu.
 

Attachments

  • IMG-20160712-WA0007.jpg
    75.9 KB · Views: 123
  • IMG-20160712-WA0006.jpg
    85.7 KB · Views: 165
Napenda kujua kama inatatizo lolote, pia bei yake kwenye yard ina range kiasi gani.
 
Ilitakiwa ngapi mkuu nipate pa kuanzia maana nataka kumtafuta hiyo mtu
Hiyo gari umetoa sana mwisho million 5....

Kms 200,000/= ni gari chakavu sana.... yaani imetumika mno...

Hizo gari kuagiza toka Japan ni 10_13M
 
Hiyo gari umetoa sana mwisho million 5....

Kms 200,000/= ni gari chakavu sana.... yaani imetumika mno...

Hizo gari kuagiza toka Japan ni 10_13M

Mkuu tusiharibiane biashara tafadhali, tena tafadhali sana,sijalazimisha mtu kununua.Unafikiri mimi mpaka kuuza hiyo bei ni mjinga?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…