Pagani huayra

Hiii ndio wamarekani wamekaataa isiingie kwao...ni dola 1 milion...dah....
 
Duh!mbona inagusa chini?haifai kwa barabara za kibongo!!
 
kwa jinsi ilivyo hata ikinyanyuka bado sidhani kama itavuka maandaki ya bongo...
 
Mtaliona soon hapa Tz, wanaotusababishia mgomo wa makusudi wa mafuta watayaleta mengi tu hayo

Sure,ila kwa bara bara zetuza bongo, iko chini sana...na huenda haina kabisa maswala ya spacers!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…