Pagamisa- professor Jay ft Mr. T Touch!!

roservelt

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Messages
1,213
Points
2,000

roservelt

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2016
1,213 2,000
Habarini wakuu!!!

Mbunge wa Mikumi na msanii mkongwe Professor Jay kaachia ngoma mpya inayoitwa "Pagamisa" ikiwa na maana pambana/endelea kupambana. Kwa kifupi ngoma ni Kali na hizi ni baadhi ya line zinazopatikana ktk nyimbo hioo...

Tokea magetoni uoga nishakataa..
Tuchape hata risasi tunatoka kama Tundu lisu, maisha yako kasi na mitikasi ya mwendo kasi Leo umepata kesho umekosa ondoa wasi.
Mbona bunduki mchana kweupe na watu wasiojulikana iko wapi amani yetu, roho ya tajiri kama mengi au kusaga haina shobo dunda shoboka nivunje chaga.....
...........

Nimezaliwa kitaa Nina mbinu zote za kutengeneza chapaaa....Nina pagamisa....pagamisa...pagamisa......
 

Forum statistics

Threads 1,389,841
Members 528,040
Posts 34,035,773
Top