Mathias Raymond Nyakapala
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,181
- 1,494
- Thread starter
- #21
ItegaNkhungu kubwa mkuu. Nkhungu ipi?
ItegaNkhungu kubwa mkuu. Nkhungu ipi?
Hapana mkuu ongeza hela 12.5 ndo mwishochukua 9.5M.. Kama inafaa ni P.M tufanye biashara.. Pesa ipo mkononi nije kupacheki...
Nyumba ambayo haijaisha hata kama imeezekwaPagale ndiyo boma mkuu?
ok ngoja nijaribu kucheza tatu mzuka na BIKO nikiibuka kidedea nitakucheki tajiri/bossHapana mkuu ongeza hela 12.5 ndo mwisho
Na Dodoma wanakuja Ukawa.Dodoma wanaletwa kama adhabu baada ya majiji mengi kushinda uchaguzi UKAWA ila sisi ndo fursa kutengeneza pesa
Linapona kwasababu gani unawasiwasi pia Dodoma ipo Tanzania sio UfilipinoKwa ujenzi huu TETEMEKO likipita pagale litapona kweli?
Makao makuu inahamia SIMIYUNa Dodoma wanakuja Ukawa.
Sisi kwetu WAGOGO Nyumba ya aina hiyo inaitwa Ghofuhahaa umenikumbusha mbali sana hili neno 'PAGALE' kikwetu usukumani ni jengo lililotelekezwa lisilo na paa ambalo awali lilikuwa ni nyumba ya kuishi, linaweza kuwa nyumba iliyopata ajali ya moto baadaye ikanyeshewa mvua na kuachwa bila kutumika kwa muda mrefu.
Kata ya Nkuhungu mkuu kwanini unahisi sijasema ukweli!Ipo Nala/Nkuhungu? Sema ukweli!
Pagale hilo linauzwa lipo Nkuhungu/Muungano ina vyumba 3 vyakulala, sebule kubwa master bedroom,jiko eneo ni kubwa la kutosha 12.5 million fasta fasta 0625646266/0752464548 njoo tufanye biashara.
12.5 ndo mwisho
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Pagale ndiyo boma mkuu?
We dalali gani unauza nyumba kama bidhaa ya supermarket,punguza kidogo watu wajenge hapo guest bubu iondoke hapoHapana mkuu ongeza hela 12.5 ndo mwisho