Pagale linauzwa haraka bei poa Dodoma mjini

Pagale linauzwa haraka bei poa Dodoma mjini

Mathias Raymond Nyakapala

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
2,181
Reaction score
1,494
Pagale hilo linauzwa lipo Nkuhungu/Muungano ina vyumba 3 vyakulala,sebule kubwa master bedroom,jiko eneo ni kubwa la kutosha 12.5 million fasta fasta 0625646266/0752464548 njoo tufanye biashara.
f70b0bbf532ba6bf0051eba00b2ff313.jpg

828f7e71b0de99ae9991a0035cab4b3e.jpg

5600b575a58ac2936d9829d4f8316da9.jpg

15182c1bd2aa9ac117929b99afe977f3.jpg
 
Yaani palivyo karibu na mjini bado bei ndogo hivyo, kweli watu wanaenda dodoma kwa kulazimishwa tu
Ikitokea wakapiga kura ya capital city dodoma haipewi
Dodoma wanaletwa kama adhabu baada ya majiji mengi kushinda uchaguzi UKAWA ila sisi ndo fursa kutengeneza pesa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom