House4Sale Pagala la kisasa, Bei imepungua (pugu)

..
IMG_20190723_180409.jpeg
 
PAGALA linapatikana PUGU, kigogo fresh
Kutoka lami ni 1.3km
Ina vyumba vitatu, sebule na choo cha ndani.
Eneo la kiwanja ni upana 17meter na urefu 27meter
Huduma zote za kijamii (maji, Umeme na barabara vyote vinapatikana)
Documents zilizopo ni za mauziano ya kiwanja na eneo bado halijapimwa.
Bei: 12.5m
Mawasiliano: 0756 832833

View attachment 1183647View attachment 1183649View attachment 1183652View attachment 1183655
Naomba ramani yake nimeipenda,nami nina site yangu inasize sawa na icho kiwanja
 
Huenda sio wewe uliyempeleka ila ukubwa wa kiwanja na sehemu kilipo ni kama alivyosema ?

Uungwana ni vitendo kama asemayo ni kweli wewe muombe msamaha badilisha tangazo liendane na uhalisia alafu uendelee kutafuta mkate wako mkuu..., mabishano hapa ni wewe ndio utapoteza utajikuta unabadilisha ID bure mkuu..., kuteleza sio kuanguka..
mkuu ni huyu huyu,namba na kila kitu vyake tulifika site nikamuuliza hizi ndo mita 25 kwa 40?akadai ooh nili edit vipimo kumbe ni 17m kwa 25m nikwambia kwanini uedit tangazo kwani uliandika bila kupima?haya sasa ata hizo mita 17 kwa 25 hazipo yaani ni mita 10 kwa 17hv, halafu sio KIGOGO fresh ni DAMPO,then ni kama 2km toka road,sasa nashindwa kuelewa kwanini wanadanganya au wanafikiri mtu atalipa bila kwenda kupaona?au ndo anataka ela ya udalali?ETI ALINIDAI ELA YA KUJA SITE,NIKAMUULIZA MBONA KWENYE TANGAZO LAKO UKUSEMA KUHUSU ILO ANASEMA OOH MIMI NIMEACHA SHUGHULI ZANGU.akuambulia ata sh.100
 
Kiwanja kina meters 27*18
Nilienda na mteja weekend iliyopita na alipima mwenyewe na Fundi aliyekuja nae.
Kuhusu eneo lote: eneo linaitwa kigogo fresh na kituo ndio kinaitwa dampo.
acha uongo,yeyote atakayeenda site na mkapata hizo mita mimi nampa laki 2 niko tayari kwenda kuandikishiana kokote kule.
 
Basi mtafute huyo muhanga aliyefunga safari yake na kusumbuliwa huenda sio kwao ili mueleweshane.., mteja mara zote ni mfalme.., na huyu aliyekuja mpaka kwako ni mteja potential angeweza kununua kweli kama ingekuwa ukubwa huo na kama alienda jirani na sio kwako huenda akaja kwako..
Kaka mimi nimeenda na huyu mpaka site,nilimpigia kwa namba hiyo hapo tukakutana,yeye Alisema kigogo Fresh,nilivyofika akanidirect kituo cha mbele panaitwa DAMPO tukakutana tukaenda site,ramani ya nyumba kweli ipo hivyo,umeme upo ila kwanza nguzo hiyo ya umeme iko kama mita 2 toka kwenye nyumba hivyo maana yake tayari kiwanja kimefinywa,pili upana ni mita 10 kwa 17 hv sasa nikamuuliza mita 25 ziko wapi akajing·ata tu,kuhusu eneo ni hilo hilo na mtu ni huyu huyu anachofanya hivi ni kujaribu kuukwepa ukweli,anasahau ukweli auna tabia ya kujificha,KAMA MWANA JF AKAENDA HIYO SITE AKAKUTA DIMENSION HIZO ANAZOZISEMA BASI KABLA AJAENDA TUANDIKISHIANE MIMI NITATOA LAKI MBILI.nafanya hivi ili kulinda heshima yangu ya kusema kweli na kuonesha namna gani huyu Dalali mbabaishaji,mbaya zaidi eti mwishon alitaka nimpe ela za kuona site,ajui kwamba mimi nilienda kuona sababu ya vipimo vilivyotajwa sasa nafikq nakuta tofaut.
 
Huenda sio wewe uliyempeleka ila ukubwa wa kiwanja na sehemu kilipo ni kama alivyosema ?

Uungwana ni vitendo kama asemayo ni kweli wewe muombe msamaha badilisha tangazo liendane na uhalisia alafu uendelee kutafuta mkate wako mkuu..., mabishano hapa ni wewe ndio utapoteza utajikuta unabadilisha ID bure mkuu..., kuteleza sio kuanguka..
Tang tumeenda,ni kama mwez hv umepita na sikupenda kusema haya ila ninavyoona anazidi kulirudia rudia hili tangazo lenye uwongo ndani yake nikapatwa na hasira na kuamua kuusema ukweli,kwan naamin siwez kupata dhambi kwa kusema ukweli,na haya nayoyasema MUNGU WANGU NI SHAHIDI.
 
acha uongo,yeyote atakayeenda site na mkapata hizo mita mimi nampa laki 2 niko tayari kwenda kuandikishiana kokote kule.
Pole sana mkuu!
Ulienda na jamaa yangu wa kutoka TABATA nadhan
Kiwanja/pagala kipo kwenye process zakulipiwa.
Aliyekua anahitaji alipelekwa na kuhakiki ukubwa wa kiwanja.
Nilipata mrejesho baada ya Jana kumpigia simu.
Mlienda wawili kama sikosei kwa Maelezo yake ni kwamba baada ya kufika mlikuwa mnakadiria kiwanja na si kwa vipimo I.e tape measure au roughly kwa hatua (miguu)
Aliyekwenda jumapili alitafuta na Fundi akaenda na muhusika na kuoneshwa mipaka yote.
Pole sana pengine haikua rizki yako
All in all kiwanja/PAGALA kinalipiwa mda wowote
 
mkuu ukienda site utapata mrejesho na naamini ata hiyo hutotoa.
Pole sana, naona umepatwa na jazba
Mungu akufanyie wepesi na akuondolee lilo ndani ya nafsi.
Kiwanja kinalipiwa 12m.
 
Pole sana mkuu!
Ulienda na jamaa yangu wa kutoka TABATA nadhan
Kiwanja/pagala kipo kwenye process zakulipiwa.
Aliyekua anahitaji alipelekwa na kuhakiki ukubwa wa kiwanja.
Nilipata mrejesho baada ya Jana kumpigia simu.
Mlienda wawili kama sikosei kwa Maelezo yake ni kwamba baada ya kufika mlikuwa mnakadiria kiwanja na si kwa vipimo I.e tape measure au roughly kwa hatua (miguu)
Aliyekwenda jumapili alitafuta na Fundi akaenda na muhusika na kuoneshwa mipaka yote.
Pole sana pengine haikua rizki yako
All in all kiwanja/PAGALA kinalipiwa mda wowote
Watu wazima tumekuelewa, ila kuwa muaminifu hii itakusaidia uaminike wakati mwingine ukileta tangazo la biashara
 
Pole sana mkuu!
Ulienda na jamaa yangu wa kutoka TABATA nadhan
Kiwanja/pagala kipo kwenye process zakulipiwa.
Aliyekua anahitaji alipelekwa na kuhakiki ukubwa wa kiwanja.
Nilipata mrejesho baada ya Jana kumpigia simu.
Mlienda wawili kama sikosei kwa Maelezo yake ni kwamba baada ya kufika mlikuwa mnakadiria kiwanja na si kwa vipimo I.e tape measure au roughly kwa hatua (miguu)
Aliyekwenda jumapili alitafuta na Fundi akaenda na muhusika na kuoneshwa mipaka yote.
Pole sana pengine haikua rizki yako
All in all kiwanja/PAGALA kinalipiwa mda wowote
We jamaa kumbe ni mpigaji MACHONDELA ahsante kwa kutujuza boss
 
Pole sana, naona umepatwa na jazba
Mungu akufanyie wepesi na akuondolee lilo ndani ya nafsi.
Kiwanja kinalipiwa 12m.
Kiufupi, kiwanja hakijanunuliwa ila umeamua kuchutama kwa style hiyo, sema nimekuwekea notification ya Dalali mbabaishaji ili siku nisije kuingia mkenge.....
Uaminifu na Ukweli ni nguzo ya mafanikio... Umejiharibia sana. Ukitaka kurudishia imani yako weka vithibitisho vyote kama hiyo biashara imefanyika kama unavyosema.
 
Ukweli utakuweka huru usiogope kusema kweli siku zote utawaokoa wengine. Madalali ukienda kichwa kichwa utalia
Tang tumeenda,ni kama mwez hv umepita na sikupenda kusema haya ila ninavyoona anazidi kulirudia rudia hili tangazo lenye uwongo ndani yake nikapatwa na hasira na kuamua kuusema ukweli,kwan naamin siwez kupata dhambi kwa kusema ukweli,na haya nayoyasema MUNGU WANGU NI SHAHIDI.
 
Ukweli utakuweka huru usiogope kusema kweli siku zote utawaokoa wengine. Madalali ukienda kichwa kichwa utalia
Tang tumeenda,ni kama mwez hv umepita na sikupenda kusema haya ila ninavyoona anazidi kulirudia rudia hili tangazo lenye uwongo ndani yake nikapatwa na hasira na kuamua kuusema ukweli,kwan naamin siwez kupata dhambi kwa kusema ukweli,na haya nayoyasema MUNGU WANGU NI SHAHIDI.
 
HIvi Watanzania ujanja ujanja tutaacha lini?mfano halisi ni huyu dalali,Mfano halisi ni huyu dalali,iko hivi mwanzo alidai eneo ni 25m kwa 40m,nikashawishika nikamtafuta tukaenda kuliangalia,ukweli ni kwamba eneo halizidi 10m kwa 16m,sasa sijui anamdanganya nani,nilichukia sana halafu mbaya eti anadai ela ya udalali tena kwa kushtukiza yan wakat tunaagana ye anataka ela ya udalali ambayo haipo kabisa katika makubaliano yoyote,kwanza zaidi anatakiwa akulipe mteja kwa kutoa taarifa za uwongo.NB.NASHAURI KAMA MTU UNAHITAJ ICHO KIWANJA KWANZA ELEWA KINA VIPIMO VYA 10M KWA 16M NA SIO KAMA MAELEZO YA DALALI,NA PIA SIO KIGOGO FRESH NI MBELE PANAITWA DAMPO AMBAPO NI KAMA 2KM KUTOKA KITUO CHA DAMPO NA SIO KIGOGO FRESH.
Aisee!!
 
Back
Top Bottom