House4Sale Pagala la kisasa, Bei imepungua (pugu)

Acha uongo unamsingizia dogo ili ujinasue usiwe wewe, wakati Machondela anakiri ni wewe ila ulivyomjanja kwa kila detail anayoweka unajaribu kuitwist ili usionekane uongo wako

Wewe kubali makosa tu kwanza ndiyo utaonekana muungwana kuliko unavyopambana ujionyeshe innocent wakati sivyo ulivyo. Hela ngumu mkuu
Dogo nilimpa elfu 2 ya nauli
Ya kwenda, huko pengine aliona haitaweza kumrudisha.
 
Acha uongo unamsingizia dogo ili ujinasue usiwe wewe, wakati Machondela anakiri ni wewe ila ulivyomjanja kwa kila detail anayoweka unajaribu kuitwist ili usionekane uongo wako

Wewe kubali makosa tu kwanza ndiyo utaonekana muungwana kuliko unavyopambana ujionyeshe innocent wakati sivyo ulivyo. Hela ngumu mkuu
Sina haja ya kukataa kwa maana hakuna Kibaya alichofanya, mathahalani angewatolea lugha mbaya au kuwafanyia uhuni pengine ningeruka hata Mimi.
 
HIvi Watanzania ujanja ujanja tutaacha lini?mfano halisi ni huyu dalali,Mfano halisi ni huyu dalali,iko hivi mwanzo alidai eneo ni 25m kwa 40m,nikashawishika nikamtafuta tukaenda kuliangalia,ukweli ni kwamba eneo halizidi 10m kwa 16m,sasa sijui anamdanganya nani,nilichukia sana halafu mbaya eti anadai ela ya udalali tena kwa kushtukiza yan wakat tunaagana ye anataka ela ya udalali ambayo haipo kabisa katika makubaliano yoyote,kwanza zaidi anatakiwa akulipe mteja kwa kutoa taarifa za uwongo.NB.NASHAURI KAMA MTU UNAHITAJ ICHO KIWANJA KWANZA ELEWA KINA VIPIMO VYA 10M KWA 16M NA SIO KAMA MAELEZO YA DALALI,NA PIA SIO KIGOGO FRESH NI MBELE PANAITWA DAMPO AMBAPO NI KAMA 2KM KUTOKA KITUO CHA DAMPO NA SIO KIGOGO FRESH.

Mkuu unaweza kupitia hapa kama itakufaa na bajeti inaruhusu
 
Back
Top Bottom