Tumsifu yesu kristu baba padri. Naomba kufahamu ni padri wa Jimbo gani, na Parokia gani, kigango kipi kwa wema tu. Ni kujiridhisha tu sio mhuni wa humu ndani anataka atupate kwenye suala zima la Onine Confession. Afu aandike JF Priest! The Auto biography . Ukinidhibitishia pasipo shaka yoyote kuwa kweli umekula kiapo kile cha usiri, basi nina hoja zangunyingi tu