PADRI NA jogoo

isanzu

Member
Joined
Dec 19, 2011
Posts
6
Reaction score
1
padri alikuwa anafuga......cku moja jogoo wake mmoja alipotea akaamua kutangaza kanixan

PADRI;Waumin wangap wanajogoo?
Wanaume wote wakasimama.......
PADRI; akasema sio hivyo ni wangap wameona jogoo?
Wanawake wote wakacmama..........
PADRI;Naona hamjanielewa nasema hvi wangap wameona jogoo wangu.........?
Masister wote wakasimama..........

PADRI AKABAKI AMEDUWAA..........................
 

Mweeee waumini hakuna jogoo kijjini mpaka wakimbilie jogoo wa ajabu!!!!! Imemaliza siku yangu vizuri.
 
Chaaa padri anawagonga masista wote church hii haifai
 
huyu padri anafanya mchezo mchafu ila ngoja awatoe ny**ge masista. Nitarudi baadae
 
Hapa ni lugha gongana,huyo padre kwao Maswa,kituo cha kazi kapangiwa Msoga,Pwani .
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…