Padri amwagiwa tindikali Zanzibar

Padri amwagiwa tindikali Zanzibar

ram

Platinum Member
Joined
Oct 5, 2007
Posts
9,345
Reaction score
8,565
Padri amwagiwa tindikali huko zanzibar, tukio hili limetokea jana jioni huko zanzibar, jamani wazanzibar mna nini, na kwanini mnawafanyia watu haya haya mambo? source ni magazeti yote ya leo, kipindi cha mapitio ya magazeti RFA
 
Mkuu uwe unapitia humu kabla hujaposti.........
Hii mbona ipo tangu jana jioni humu?
 
Hivi karibuni vichuguu vyote viwili(pemba na unguja) vitazama naharini na hakuna hata panya mmoja atakaye pona.. .misri walianza hivihivi, sasa wanaogelea ktk dimbwi la damu.
 
Kila mpenda amani yafaa akemee huu ushenzi unaofanywa na baadhi ya Wazanzibar
 
Inasikitisha sana, Watanzania tuache tabia hii mbaya haitujengi mbele ya wenzetu na Mungu hapendi.
 
Back
Top Bottom