Padri amuua Mgonjwa Muhimbili....

Padri amuua Mgonjwa Muhimbili....

Pasco_jr_ngumi

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2010
Posts
1,802
Reaction score
284
Padri Mwalusakisyo ameua Mgonjwa. Ilikuwa jion alipokuja kumuombe Mose. Wakati akiendelea kumuombea, kwa bahati mbaya akakanyaga waya wa umeme ambao umeunganishwa na mashne ya kupumulia. Ghafla,mashne ilisimama na Mose kushndwa kupumua.

Mose alikuwa mahututi, hawez kuongea, akaomba peni na kalamu. Padri akasema mpeni anataka kuacha WOSIA. Basi Mose akaandika ujumbe kwa Padri "TOA MGUU, UMEKANYAGA WAYA NASHNDWA KUPUMUA" Padre akachukua ujumbe akaweka kwenye shati lake. Akaendelea kuomba maombi!

Hatimaye Mose akakata roho, Padri anamuangalia. Akaongea na ndugu wa marehemu na wakapanga mazishi kesho yake.

Padri akazika na kuwezesha mpango mzima wa maziko kukamalika. Mwishowe akakumbuka, akawaambia watu "Marehemu aliacha usia,subiri niwasomeeni"... Alipofungua kaujumbe lo! ALITAMAN KUPASUKA!
 
duh, nimeshtuka sana, lakini nilipochungulia kuona jukwaa, at least nimetuli sasa. loh
 
duh, nimeshtuka sana, lakini nilipochungulia kuona jukwaa, at least nimetuli sasa. loh

Haya majukwaa mengine si mazuri sana Judy.... lakini kama alikuwa anaweza kuinua mkono na kuandika obviously hakuwa mahututi ha ha haaaa
 
Umesema waya wa umeme au bomba la hewa, inawezekana ukanyage waya na umeme ushindwe kupita? Kama ni kweli, inabidi hicho kiatu tukipeleke TBS.
 
Umesema waya wa umeme au bomba la hewa, inawezekana ukanyage waya na umeme ushindwe kupita? Kama ni kweli, inabidi hicho kiatu tukipeleke TBS.
Ahahahahaah na ndio maana ni utani...
 
Aliombaje pen? Kulikuwa na watu kibao babakeee. Hata hivyo ngoja nivutevute time. Jokisiii
 
Back
Top Bottom