padre na jogoo

Nambe

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2011
Posts
1,451
Reaction score
534
Padre mmoja alipoteza jogoo wake, akaona aulize kanisani baada ya ibada kama kuna muumin kamuona jogoo wake, basi padre akuliza jaman kuna mtu ana jogoo wanaume wote wakasimama, padre akasema naona hamjanielewa nauliza hivi kuna mtu ameona jogoo, wanawake wote wakasimama, padre akasema jaman simaanishi hivyo nauliza kuna mtu yeyote aliyenionea jogoo wangu, masister wote wakasimama, padre kuona hvyo akazimia.
 
padre akasema jaman simaanishi hivyo nauliza kuna mtu yeyote aliyenionea jogoo wangu, masister wote wakasimama, padre kuona hvyo akazimia.

Duh alisahau kuwa aliwatembezea jogoo lake!!
 
Inaleta maana kwa English tu ambako uume waitwa 'cock' --ukitafsiri hainogi labda kwa kulazimisha.
 
sana sasa hapo kasheshe coz inawezekana walikuwa hawajui kama wote wametembezewa hapo tena ana kesi ya kujibu kwa masista
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…