donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
Aombe asikutane na Kingai ataishia kuwekwa kwenye sandarusi na kutupwa bahariniFather Dkt. Henry Rumisho (PhD) Ni Komandoo Wa JWTZ, Padre Wa Kanisa Katoliki, Lecturer Wa Ardhi Uni Na Architect. Hapa Henry Yuko Kwenye Graduation Yake Ardhi University Ambapo Ametunukiwa PhD In Architecture.
Mapadri Ambao Ni Wanajeshi Hujulikana Kama "Military Ordinariate" View attachment 2033021
Mbaya zaidi mtu kama utakuta alikua anapelekeshwa na makonda.Father Dkt. Henry Rumisho (PhD) Ni Komandoo Wa JWTZ, Padre Wa Kanisa Katoliki, Lecturer Wa Ardhi Uni Na Architect. Hapa Henry Yuko Kwenye Graduation Yake Ardhi University Ambapo Ametunukiwa PhD In Architecture.
Mapadri Ambao Ni Wanajeshi Hujulikana Kama "Military Ordinariate" View attachment 2033021
Heh kumbe?!Karismatiki mmoja hatari sana.
[emoji848]Aombe asikutane na Kingai ataishia kuwekwa kwenye sandarusi na kutupwa baharini
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Sana mkuu. Hawa ndio kina John KisomoKuna watu wanazaliwa na bahati zao
[emoji2][emoji2][emoji2] sidhani kama makonda angeweza kumpekelesha huyu mwambaMbaya zaidi mtu kama utakuta alikua anapelekeshwa na makonda.
Yeah
A real soldier akose utamu? Unadhani huko sudani alikuwa anajichua?Tatizo anakosa utamu
Mapadre wanakula nadhiri, hawanyi hayo makituA real soldier akose utamu? Unadhani huko sudani alikuwa anajichua?
Jidanganye mkuu tunalea watoto wa mapadre huku mtaani kimyakimya. Moja ya maagizo ya kwanza kabisa ya Mungu ilikuwa ni zaeni mkaongezeke. sasa mapadre wao ni akina nani hata wasitii agizo hilo?Mapadre wanakula nadhiri, hawanyi hayo makitu