Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,871
Mkuu huyu jamaa ni padre wa dhehebu gani na wapi?
Ili pesa kama ya escrow ipatikane kwa hawa wezi inabidi iongezwe kwenye gharama za umeme na mambo kama hayo. Hata kanisa na viongozi wake wanatumia umeme na wanaathiriwa na ujangili wa ccm. Kwanini asiseme?Umeenda "kanisani kwako" sawa. Lakini hayo si maono ni mawazo yake tu ya kisiasa. tena atakuwa padre wa ajabu kusema maneno kama hayo ambayo ni siasa ya moja kwa moja kanisani. hayo ni maneno yanayotakiwa kusemwa kwenye jukwaa la siasa. Nahisi hayo uliyoandika ni uongo mtupu. sema wee ndio mawazo yako, ndo maana na kanisa ni lako!
Nimekuwa nikimsikia tu Padre Baptist Mapunda.Leo nimeenda kanisani kwangu misa ya kwanza nikamkuta Padre mpya.Akajitambulisha anaitwa Baptist Mapunda Tunda la Kanisa.
Mahubiri yake:
*Amesema amepata maono kwamba Serikali ya CCM itaua watu wengi sana mwaka huu ili ibaki madarakani
*Akasema utawala huu ni wa shetani kwani watawala wamewageuka wananchi na kutenda kila aina ya uovu kwa raia wake
*Akasema anashangaa watu wanadanganywa na kanga na Tshirt za CCM ili kuichagua.Akadai mwenye shida amfuate atamnunulia Tshirt 10 bure kuliko kuvaa Tshirt ya CCM
*Akadai haogopi kufa kwa kusema ukweli.Akasema kama CCM wanamchukia akitoka nje wamkate shingo yake.
*Amewashangaa mafisadi waliopewa mabiliini ya Escrow na akadai yeye siyo kiongozi wa dini wa kuhongwa
*Akasema mtu ambaye mpaka leo anachagua CCM ni kipofu na amelaaniwa.Akasema haogopi kuchukiwa na CCM kwani yeye ni Nabii
*Akasema kuonyesha CCM ni watu waovu wameamua kwa makusudi kuwaapisha watu walioshindwa katika chaguzi.Huo ni ushetani wa kiwango cha mwisho kabisa.
*Amewashambulia viongozi wa dini wanafiki walamba viatu vya mafisadi ambao kila mwaka mpya wanaitisha kongamano wanalodai ni la kuombea amani.Amesema hawezi kushiriki upuuzi wa aina hiyo hata siku moja.Kwa sababu viongozi wa aina hiyo hawataki kuwaambia ukweli watawala kwamba matendo yao ndiyo yanavuruga amani.
--**Mwenye Masikio na asikie--**
kwani wewe ndio Chademakwanza mleta mada hajasema ni mjia gani katokea ww MuislamuPost #5 ushajubuHuyu padre aliwahi kuwataadharisha Songea mjini wasimchague Nchimbi 2005 wakabisha leo wanajuta. Sijui jamaa anatoa wapi maono simuelewi
Life saver au dude gani hilo!kwani wewe ndio Chademakwanza mleta mada hajasema ni mjia gani katokea ww MuislamuPost #5 ushajubu
mnatunga vitu sijui kwa kujipendekeza au kulipwa huko BAVICHA
Songea Mjini leo Padri ahubiri kitu kilekile na cha huko Moshi Kishimundu kwa chaggadema Saccos awe sawa na wa Bombambili
msiijaze Saver yetu kwa uongo hata Uchaguzi haujakaribia
Mkuu huyu jamaa ni padre wa dhehebu gani na wapi?
akili mbofumbofu. sijaelewa chohcote ulichoandika hapa sijui unajazibaa au?kwani wewe ndio Chademakwanza mleta mada hajasema ni mjia gani katokea ww MuislamuPost #5 ushajubu
mnatunga vitu sijui kwa kujipendekeza au kulipwa huko BAVICHA
Songea Mjini leo Padri ahubiri kitu kilekile na cha huko Moshi Kishimundu kwa chaggadema Saccos awe sawa na wa Bombambili
msiijaze Saver yetu kwa uongo hata Uchaguzi haujakaribia
WAULIZE WANASONGEA KAMA 2005 SIKU CHACHE KABLA YA UCHAGUZI MKUU. HAKUHUBIRI KATIKA KANISA KUU LA MT MATHIAS MULUMBA KALEMBA JIMBONI SONGEA. NA NINI KIMEWAKUTA NA NCHIMBI WAO. Dogo usikurupuke inaonesha humfahamu huyo father vizur. Fuatilia historia yake then uje.kwani wewe ndio Chademakwanza mleta mada hajasema ni mjia gani katokea ww MuislamuPost #5 ushajubu
mnatunga vitu sijui kwa kujipendekeza au kulipwa huko BAVICHA
Songea Mjini leo Padri ahubiri kitu kilekile na cha huko Moshi Kishimundu kwa chaggadema Saccos awe sawa na wa Bombambili
msiijaze Saver yetu kwa uongo hata Uchaguzi haujakaribia
Pumbavu!!!!!!!!!!!!! jifunze kuandika ndio uje hapakwani wewe ndio Chademakwanza mleta mada hajasema ni mjia gani katokea ww MuislamuPost #5 ushajubu
mnatunga vitu sijui kwa kujipendekeza au kulipwa huko BAVICHA
Songea Mjini leo Padri ahubiri kitu kilekile na cha huko Moshi Kishimundu kwa chaggadema Saccos awe sawa na wa Bombambili
msiijaze Saver yetu kwa uongo hata Uchaguzi haujakaribia
Life saver au dude gani hilo!
Pumbavu!!!!!!!!!!!!! jifunze kuandika ndio uje hapa