Padre afunga maombi

Praff

Senior Member
Mar 9, 2012
139
12
Padre akawaambia waumini wote wafunge macho ili waombee mvua ili inyeshe, cha kushangaza walipofumba macho tu, mshkaji mmoja aliyevimbiwa kande akajamba kwa sauti, padre ikabidi aropoke maneno yafuatayo "hebu fumbueni macho na muumini aliyejamba nimemuona sasa nafunga misa kwa sababu licha ya kujambia hekalu na misa pia umeniudhi kwa sababu wenzako tunaomba MVUA halafu wewe UNALETA MINGURUMO! Muumini aliyejamba akajibu 'hizi ni dalili za mvua mnayoomba, ni mingurumo ya radi itakayoambatana na mvua' misa ikafungwa ghafla!
 
Acha kuvuta bangi mda huu, jaribu asubuhi zitakusaidia, anyway hili ni jukwaa la jokes but I hate jokes that relates to any kind of religion.
 
Hvi jokes zisizobomoa imani zetu huwa hazichekeshi sio??...Mambo kama haya taratibu taratibu yanashusha imani zetu, mwishowe tunakua tunamtumikia shetani..
 
hahaha, sidhani kama watu wa makanisani wanajambaa kuliko watu wa misikitini, kwasababu watu wa makanisani hawainami pale wanaposwali,...nafikiri matatizo haya yamejaa sana misikitini hasa wakati wa mfungo baada ya daku....akiinama tu mtu, kama si ushuzi wa polepole basi ule wa nguvu....walio nyuma yake nawaonea huruma.....sisi makanisani hatujambi hivyo...toka nizaliwa sijawai kuona mtu kajamba kanisani...nina miaka zaidi ya 30, huu utani sasa umezidi.
 
Free Masonry on work!!! Judge by their mindset and hidden agenda to hate religion. Illuminati at work
 
Free Masonry at work!!! Judged by their mindset and hidden agenda to hate religion. Illuminati at work
 
Back
Top Bottom