MKuu Console pad za Pc zipo za aina 2 kwanza kuna za Microsoft(XboxConsole) look alike ambazo ndio kazi yake kuchezea game yoyote za computer halafu kuna za kichina ambazo ni look-alike za pad za playstation ambazo nazo zipo aina mbili yaani ni za pacha(zinatumia waya 1 ila kuna pad 2) na kuna pad moja yenye waya mmoja.
chaguo ni lako kuhusu bei
izo za microsoft ni expensive sna about 30-40k elfu na za pacha ni 15k(elfupad2), ila kwa single waya ni 10k kwa kila moja
sipo vizuri kuelezea ila nimeeleweka