Tetesi: Pacome Zouzou ni mnyama

kalisheshe

JF-Expert Member
Mar 19, 2020
1,882
3,529
Mimi sio mtume, nabii wala mtabiri,

Ila Uwezekano wa niliemtaja kuingia kwenye kundi la kina Benard Morrison, Emmanuel Okwi, Beno Kakolanya, Juma Kaseja, Mrisho Ngassa, Amri Kiemba, Athuman Idd Chuji n.k ni mkubwa.

Tufahamu kuwa mikataba huvunjwa na kuna gharama hulipwa kama faini ya kukiuka mkataba.

Tuendelee kufatilia.
 
😅 Unaota wewe
 
Hizi ndio mambo sisi tunataka kusikia. Heko viongozi wetu na mbaki madarakani forevaaaa. Sasa hivi zimefika kauli 6 hureeeeee

1. Goli la azizi halikuwa halali dhidi ya mamelodi

2. Refa wa mamelodi kapangiwa kuchezesha olimpiki

3. Pakome mnyama next season

4. Simba ni ya 4 Afrika na hata ligi ya Tanzania tukiwa wa tisa sisi ndio tutashiriki AFL

5. Simba ndio timu tajiri Afrika mashariki

6. Simba ndio ya kwanza kuanzisha chanel ya whatsapp

Sasa hivi viongozi wame advance hakuna tena kauli kama Yanga inatumia bahasha au Yanga inabebwa
 
Inaonekana una msongo wa mawazo.
 
Na Aziz Ki anakwenda Azam.
 
7. Simba imeichangia yanga goli 7 na point 6 msimu huu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…