Packardbell laptop..

Packardbell laptop..

Mathias1981

Member
Joined
Jul 10, 2011
Posts
69
Reaction score
19
Wakuu habari?naomben msaada wenu,ninalaptop ya kampuni iyo ya packardbell...natangu niinunue nimiezi 9..haikuwah kunisumbua kabisa,ila sasa nashangaa keyboard haipigi kazi na ukigusa kwenye start inatoa namba 22222222 nyingi namlio unaokera ,ama unaweza fungua folder ukataka kuklick kitu cha pili ama cha sita kkt folder hilo,inagoma nakugandia ktk kitu inachotaka yenyewe...mpaka uzime nautumie keyboard ya nje ndio unaweza chapa kitu...Je?tatizo linaweza kuwa nn hasa ili ntakapopeleka kwamafundi wasije wakanitajia vitu vngne kisa sielewi mambo haya?msaada wakuu
 
...natangu niinunue nimiezi 9..haikuwah kunisumbua kabisa,ila sasa nashangaa keyboard haipigi kazi na ukigusa kwenye start inatoa namba 22222222 nyingi namlio unaokera ...

Inawezekana tatizo likawa ni keyboard, inawezekana keypad ya namba 2 inang'ang'ania chini, ukiona namba 222222 basi jaribu kuhakikisha inakuwa kama zingine yaani jaribu kuinyanyua juu.
 
Nimejaribu kaka,ila hakuna hata keypad moja inayofanya kazi...niko njia panda nikaona nije kwa wakuu kwanza...
 
Nimejaribu kaka,ila hakuna hata keypad moja inayofanya kazi...niko njia panda nikaona nije kwa wakuu kwanza...

thanks mkuu,itabidi nifanye hivyo tu..maana haya mambo ya IT wengine yametupita mbali sana....
 
hiyo laptop yako ulinunua wapi? grantee ineisha au ulinunua za mikononi?
 
Back
Top Bottom