Pacha wangu mcharuko

kwahyo hao majamaa hawa stuki mbna leo papuchi ina ladha tofauti au hadi utam mnafanana?
 
mi najua kitu chenye ladha ni kiliwacho sasa hapo sijakusoma vizuri
 
sio ivo, izo hesabu zako zinavuruga mada. hakuna x plus one hapo.nikimwachia huyo bwana hamtaki tena anataka tutumie bwana mmoja
 
ha ha ha ha ngoja nikupe picha zetu. warefu,wembamba,maji ya kunde,sura nyembaba ndefu,mwanya mdogo,...............
 
nimeumbuka na nini????????? tatizo ubishi tu shauri ako ila habari ndo iyo best laiv laiv
 
hahahaha..huyu si mkweli.
tatizo husomi vizuri izo post zangu, iko ivi mamamkwe bado ni pasua kichwa,doto ndo ivo anakula vyangu japo natarajia kuolewa.........................., umenielewa mkuu???????????
 
= mkubwa kamzidi mdogo angalau kwa mwanaume mmoja (>=1) na anamwita mdogo "mcharuko", itakua boriti na kibanzi.
hapa hakuna cha boriti wala kibanzi, mcharuko ni mcharuko tuuuuuuuuuuuu
 
Mpwa MMU imevamiwa na vitoto vinavyokaribia kuvunja ungo ambavyo vimemaliza fom föo ya kihistoria 2011

usilolijua litakusumbua mkuuuuuuuuu hakuna mtoto humu kila mtu alishapevuka miaka 30 ivi iliyopita, ha ha ha ha
 
ha ha aha aha haya bwana naona wana jf hamnitaki mana ni mabango mwanzo mwishooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…