Pacha wangu mcharuko

Fanya mpango muolewe na mwanaume mmoja
 
Niliwahi kusoma na kufundishwa juu ya tabia za mapacha walio sare. Yaani wale waliotokana na kugawanyika kwa mbegu moja iliyoingia kwenye yai moja. Hawa ni sawa na mtu mmoja ndani kwenye miili miwili tofauti. Ikiwa ndivyo huna ujanja kwa kuwa yeye ni wewe na wewe ni yeye. Unachokipenda wewe ni hicho hicho na unachochukia wewe ni hicho hicho.

Wakati fulani Marekani waliamua kuwatenga mapacha walio sare kwa umbali wa km nyingi sana ili kujifunza tabia zao, matokeo yake walichoka wenyewe. Kila kitu ni sawa na mtu mmoja.

Daktari Mzizi Mkavu ataongezea zaidi.
 
Hivi kwanini we muongo muongo!

Halafu...si ulisema unaolewa week hii so doto analala na mumeo mtarajiwa..vipi maandalizi ya harusi...na je mama mkwe sio pasua kichwa tena..na huyo mumeo mtarajiwa ameacha kukutesa....u r contradicting urself gal
hahahaha..huyu si mkweli.
 


golden girl nimekuzimia naomba ni - PM namba yako mie nawapenda sana kina - KURWA ...........!:mwaaah::madgrin:
 
Wahenga walisema njia ya mwongo ni fupi. Ushauri wa bure: Ukiwa mwongo pia jitahidi kuwa na kumbukumbu ili usijikute unajichanganya kama ulivyofanya. Ona sasa ulivyoumbuka.
 

= mkubwa kamzidi mdogo angalau kwa mwanaume mmoja (>=1) na anamwita mdogo "mcharuko", itakua boriti na kibanzi.
 
Hizi porojo zenu sijui mtaacha lini...kila siku vihadithi vya kutunga tunga tu!!!

Mpwa MMU imevamiwa na vitoto vinavyokaribia kuvunja ungo ambavyo vimemaliza fom föo ya kihistoria 2011
 
hata huku JF amekufuata? maaana umesema kla unachofanya naye anafanya
 
hutakiwi kushangaa sana coz mnaendana vitu vingi sana, vp wewe hujawah kumtaman boy wake? cha kufanya ni kuwa mkali na kuwa serious sana kwenye uhusiano wako na wapenzi wako pia, then kuwa na machaguo mazur coz unaonekana unapata wanaume wasio na msimamo pi!! mwenye msimamo na penzi la kweli hashawishiki kirahisi mama!

ni maoni tu, samahani kama nitakuwa nimekosea na kukukwaza sehemu yoyote!!
 

This is powerful MAN!
 
Mmh!ndugu yangu mimi hii naona ni tamthilia..sidhani kama kuna uhalisia hapa...tafadhali peleka bongo movie watu waifanyie kazi..
 
golden girl ungekuwa mwanaume ungekuwa una kamba kali sana manake stories zako zimekaa ki-Sani Sani hivi
 
golden girl, Acha zinaa. sio nduguyako tu yupo kwenye hatari, Hata wewe upo kwenye hatari mbalimbali

Mrudieni MUNGU wenu , hizi ni siku za mwisho jamani
 
Last edited by a moderator:
Achana na uasherati na nadhani pacha wako atakufuata maana ww ndio unampoteza ndugu yako
 
Hebu weka picha zenu mkuu tuwaone kwanza...
 

Duh! Hii imeniacha hoi! Jf is never boring, by TB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…