golden girl
Member
- Jun 19, 2013
- 66
- 2
Na yule mwenye tabia ya kuzini na wanaume wenzake nae yumo kwenye list ya waliolala na Dotto?
Hivi kwanini we muongo muongo!tumezaliwa mapacha tunaofanana sana kiasikwamba hata marks zetu darasani zinakaribiana sana.tunapendana saaana. lakini tatizo huyu mdogo wango (doto) kila napokuwa na uhusiano na mwanaume na yeye pia anamtaka huyo huyo, atafanya juu chini mpaka ata............ naye. mbaya zaidi wanaume inawachukua muda sana kututofautisha na hapo ndipo twin wangu anachukua nafasi.nifanyeje jamani?????
angalizooooo: ni ushauri tu unahitajika ndugu zangu wapenzi na sio kejeri na matusi
nimekubali jamii watu wanakumbukumbuNa yule mwenye tabia ya kuzini na wanaume wenzake nae yumo kwenye list ya waliolala na Dotto?
hizi hadithi za kutunga mpaleke kwa shigongo