Barakoa 001
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 5,417
- 14,862
Wala sio masimango. Ila nawarahisishia tu, maana mbongo hapigi kura ila kutwa lawama kwa viongozi.Mbona unatanguliza masimango
Na wewe pita hivi na maujinga yako!Nimeona hii thread niianzishie huku kwa sababu, Diddy alikutwa na mafuta, tofauti na hapo hii mada ilitakiwa niiposti jukwaa la intelligence. Msikilize huyu mshua alivyozichambua shutuma za Diddy.
Jamani ndugu zanguni, tujitahidi tupate utajiri mapema, zama zijazo maisha yatakua magumu sana.
(digital currency inakuja kurudisha utumwa katika namna yake)
Humu ndani ya video huyu mshua amezungumzia kuhusu watu kuwa maarufu wakati hawana cha maana wanachokifanya mpaka kiwape huo umaarufu yeye kawatolea mfano familia ya kina kadashian(hata bongo wapo wengi tu)
Pia amezungumzia Elon musk kutajirika from no where. Andrew tate (top G mwenyewe) amezungumziwa pia
ONYO: VIDEO IKO YOUTUBE. Kama Huna bando pita hivi. Kama kiingereza kinakupiga chenga pita hivi π
Kama wewe ni mvivu mvivu kusikiliza podcast ndefu pita hiviπ ukaibukie tikitok huko ndio kuna video mpaka za sekunde mbili(slavery mind)
Pia soma: P. Diddy na kesi ya unyanyasaji wa Kingono
Umesikiliza kilichoongelewa mkuu?Usiamini kila kitu unachoona au kusikia kwenye Internet. Kwanza kwenye huu utitiri wa podcast, hawa watu wajaa tantalila bila fact au mifano hai. Siku hizi ukiwa na microphones mbili tu na ukisema lolote kuhusu Elon Musk watu wanakuamini.
Kama Huna bando hakuna namnaMbona kama unatufokea mkuu?
πππKama Huna bando hakuna namna
Na umekuja kukomenti kwenye ujinga badala ya kupita hivi πNa wewe pita hivi na maujinga yako!
Pdidy ameongeza idadi ya mafuta?Umesikiliza kilichoongelewa mkuu?
Unamfukea pdidy unajipenda?πππ
Umesema pdidy ameanzisha kiwanda cha mafuta?Na umekuja kukomenti kwenye ujinga badala ya kupita hivi π
Hapana sijasema. Soma vizuriUmesema pdidy ameanzisha kiwanda cha mafuta?
Nimeona km umesema pdidy kaanzisha kiwanda cha mafuta na ile party ndio ulikua ufunguzi wake?Hapana sijasema. Soma vizuri
P Diddy mzee wa futaπUnamfukea pdidy unajipenda?