Oyster Bay Beach, Dar es salaam. 1976

Mkuu ndiyo wewe kwenye picha hiyo?
 
Mkuu ndiyo wewe kwenye picha hiyo?


Mwaka 76 nilikuwa sijazaliwa, the photo credit inaenda kwa huyu jamaa wa kuitwa Jan Zigbe kule Facebook. Huyu jamaa ni kiboko aisee.
 
Reactions: BAK
Ukiboko wake nini Mkuu?


Namfollow huyu jamaa kule Facebook, kwasababu post zake mara nyingi huwa zinavutia Sana. Mfano hii picha, inaonyesha Oyster Bay Beach ya miaka ya 70 wakati bado inavutia tofauti na sasa imekuwa Dampo la maplastiki
 
Reactions: BAK
Bongoyo sports club v/s Oysterbay sports club uwanja wa mazoezi
 
Reactions: BAK

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…