Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Wanaume walio na viuno vikubwa wako hatarini kupatikana na saratani ya tezi dume utafiti umebaini.
Utafiti uliofanya na 140000 kutoka mataifa manane ya ulaya ulibaini kwamba viuno vikubwa huongeza mtu kupatikana na saratani hiyo kwa asilimia 13.
Wanaume ndio waliomo hatarini zaidi wakiwa na ukubwa nchi 37, kulingana na utafiti huo wa chuo kikuu cha Oxford.
Saratani ya tezi dume ndio ilio na visa vingi miongoni mwa wanaume.
Utafiti huo uliwasilishwa katika mkutano wa kunenepa uliofanyika mjini Gothenburg nchini Sweden uliangazia ushirikiano wa vipimo vya mwili miongoni mwa wanaume walio katika umri wa miaka 50 na hatari ya saratani ya tezi dume katika kipindi cha miaka 14.
Katika wakati huo kulikuwa na visa 7000 vya saratani ya tezi dume huku watu 934 waliokuwa na ugonjwa huo wakifariki.
Utafiti huo ulibaini kwamba wanaume walio na miili pamoja na viuno vikubwa waliokuwa na hatari ya kupatikana na ugonjwa huo.