Ovi Nokia Suite Nini Madhara yake kwa Simu?

Ovi Nokia Suite Nini Madhara yake kwa Simu?

sayicom

Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
66
Reaction score
1
Habari, wana Technology Mimi nimefanikiwa kutumia OVI NOKIA SUITE Je ni nini madhara ambayo simu inaweza kuyapata kwa kutumia OVI NOKiA SUITE kwa Muda Mrefu?
 
haina mathara yoyote ndugu,watu hwawatengenezi software ili kuharibu simu.
 
Mbna mimi nikiunganisha kwenye kompyuta net inakataa
 
Back
Top Bottom