Madam secretary
Member
- Mar 6, 2015
- 70
- 221
Shida ni ugumu tu wa maishaPole sana....
Kujua kinachokusumbua ni hatua katika uponaji....fuatilia matibabu ya hospitalini katika eneo unalo ishi....
Mental health ni pana sana...kujua shida yako na jinsi ya kukusaidia si rahisi kwa kusoma tu ulichoandika....
Pole sana....

no one has cursed..Shida ni ugumu tu wa maisha
Biashara zote zinakufa na nina malengo na majukum.
Naona wenzangu wanafanikiwa, but as for me kila siku Bora Jana. it feels like I'm cursed.
Je umeolewa? Una mahusiano?Habari zenu wakuu,
Changamoto za maisha zipo kwa kila mmoja, kila mtu anapitia ya kwake tofauti ni uzito...
Stress za maisha zinantosha niongeze tena mapenziPole sana Madam secretary tuanzie hapa una mwenza wa maisha?
I prefer being aloneJe umeolewa? Una mahusiano?
Kama huna je unapenda kukaa alone (kujifungia ndani)?
NB: Matatizo kila mtu anayo na kuwa na matatizo sio dhambi, dhambi ni pale utapo ruhusu matatizo yaingie akilini na moyoni mwako!!
Aise nimekuhurumia.Stress za maisha zinantosha niongeze tena mapenzi
Hapana wacha kwanza nipambane na ili moja
Tatizo lako linaanzia hapa.I prefer being alone
jitahd kujichanganya asee kukaa alone n risk sanaaa mnoI prefer being alone
Shida ni ugumu tu wa maisha
Biashara zote zinakufa na nina malengo na majukum.
Naona wenzangu wanafanikiwa, but as for me kila siku Bora Jana. it feels like I'm cursed.
The darkest night produces the brightest stars.Katika maisha kuna kitu ambacho wetu huwa tunakosea pale tunapopitia hali ngumi huwa tunaamini kuwa hakuna suluhisho ila ugumu huwa unaongozana na wepesi. Ukiona maisha yamekuwa magumu basi ujue kuna tumaini linakaribia.
Piga moyo konde.