Ovalt investment

commm

JF-Expert Member
Sep 6, 2019
1,674
1,905
Wakuu habari za wakati huu, kuna hii sijui niseme ni project au ni biashara ya mtandao inaitwa OVALT INVESTMENT, Kuna rafiki yangu yeye amejiunga huko na anajaribu kunishawishi na mimi nijiunge huko kwa madai ya kwamba ukiunganisha watu kuanzia wawili utapata asilimia 30 ya fedha ile ambayo umeweka ndani ya wiki moja tu.

Je wakuu kuna yoyote mwenye kuifahamu hii biashara na ni kweli unaweza pewa asilimia 30 ya pesa ambayo umeweka ndani ya wiki?

Na hiyo pesa ambayo huwa naweka ndani ya wiki huwa inafanya kazi gani ambayo itanifanya mimi niweze pata faida ya asilimia 30 ndani ya wiki tu?

Nawasilisha
 
Akili ya kuambiwa changanya na ya kwako. Usipende mteremko hakuna pesa ya bure hivyo fanya kazi. Kama kweli inalipa kwanini hao waanzilishi wasitajirishe ukoo wao kwanza.
 
Wakuu habari za wakati huu,kuna hii sijui niseme ni project au ni biashara ya mtandao inaitwa OVALT INVESTMENT, Kuna rafiki yangu yeye amejiunga huko na anajaribu kunishawishi na mimi nijiunge huko kwa madai ya kwamba ukiunganisha watu kuanzia wawili utapata asilimia 30 ya fedha ile ambayo umeweka ndani ya wiki moja tu

Je wakuu kuna yoyote mwenye kuifahamu hii biashara na ni kweli unaweza pewa asilimia 30 ya pesa ambayo umeweka ndani ya wiki?
Na
Je hiyo pesa ambayo huwa naweka ndani ya wiki huwa inafanya kazi gani ambayo itanifanya mimi niweze pata faida ya asilimia 30 ndani ya wiki tu?


Nawasilisha
Unakaribia kutapeliwa
 
Back
Top Bottom