assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,905
- 4,054
Kwa wafuatiliaji wa tasnia ya uigizaji nchini Marekani, watakubaliana nami kuwa tuzo za OSCAR ni za juu sana katika maigizo.
Najua Lyman wataelewa kwa shida lakini great thinkers mnakaribishwa sasa uwanja wa nyumbani.
Tuje bongo.
1) UHURU WA VYOMBO VYA HABARI NA MITANDAO YA KIJAMII.
wote mtakubaliana nami Uhuru wa vyombo vya habari unashuka kwa kasi ya rocketi, MAWIO tayari imevikwa sanda , nyimbo imeimbiwa nazan imeelekezwa kisutu kwa mazishi.
TBC kuingiliwa na kuzuia kuonyesha bunge live, huku ikirusha harusi ya pedeshee live, how can you convince us otherwise! nazan hii ni kinyume na Uhuru wa habari tuliotarajia.
2) SERIKALI KUINGILIA BUNGE
kitendo cha askari kuingia na mbwa bungeni, pia kutokana na Maelezo ya kubenea wanawake kushikwa mapambo yao, je hii inaleta tafsri gani?
3)UTAWALA WA SHERIA
nimepata mashaka makubwa juu ya utawala wa sheria ukizingatia bomoabomoa, fukuzafukuza, uchaguzi zanzibar we have to reform constitution
4)HAKI ZA BINADAMU
hapa ndio kuna kiliokikubwa sana wala sitacomment chochote.
Conclusion:
Tunataka rasimu ya kwanza ya mh warioba, misingi ya uongozi, utawala wa sheria, maadili ya viongozi, haki za binadamu, mgombea binafsi,tume huru ya uchaguzi hii ndio jibu la kudumu la kero za watanzania na sio kucheza maigizo ya kustukiza.