Ouko killed at State House, says report...................

Vipi kuhusu Daudi Balali?

I believe this guy is alive hiding somewhere in Carribean Islands.....................................
 
Vipi kuhusu Horace Kolimba?

Kuhusu Kolimba.................Rev. Mtikila alijaribu mahakamani kuomba afukuliwe na uchunguzi wa kina ufanyike lakini mahakama zetu ambazo haziendeshwi kwa haki zikaishia kumfunga mwaka mzima lupango.........Mtikila kwa kudai haki ya kimsingi ya kujua mauti haya yaliyomfikia Mtikila yalitokea vipi...........................
 
Hakuna kipya, Biwott hatafanywa lolote. Imefanyika Tanzania pia wengi tu wameuawa,

Usiharakishe kusema hakuna jipya Bunge la Kenya laweza kutoa amri uchunguzi huo urudiwe na Biwott aweza kuwa matatani............
 

Usiniambie hii kitu hata TZ ipo?? duh basi itabidi nipunguze kihere here... bt kwa TZ cjasikia mtu kauwawa ikulu.
 
Hivi huyu jamaa ndio yule alieuwawa na serikali ya kenya wakamchoma moto halafu wakatengeneza wax body inayofanana nae, saa ya mazishi ndugu zake wakashtukia ishu kuwa kumbe ni mdoli na sio ndugu yao??

dah kenya ni balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…