Othtadhhat Amina....

Bwana kaduga

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2018
Posts
864
Reaction score
1,818
Habari ni gani wapendwa!

Katika pitapita zangu za hapa na pale huku na kule nilifanikiwa kupitia nyumba ndogo kule kitaa cha fb.co

Ambapo nilikutana na JF page ambapo kuna watu wengi ambao wanaendelea kulijenga taifa kwa kuhabarishana habari mbalimbali.

Lakini kuna mmoja huyu ndie alie nifanya nianzishe hii thread nilie mtambua kwa jina LA Othtadhhat Amina.

Tafadhari kama upo humu naomba tuonane maana nakuhitaji nilishindwa kukuambia kule kwakua mazoea yangu yapo huku.

KARIBU.

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…