PreGE2025 Othman Masoud Othman: Inakuwaje Polisi waongozwe na Mkuu wa Mkoa au Mkuu wa Wilaya ambaye ameelezwa wajibu wake ni kuhakikisha CCM inashinda?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Wont be the same

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,564
Reaction score
2,483
Mwenyekiti wa ACT- Wazalendo na Makamu wa kwanza wa Rais Zazibar Othman Masoud Othman anaeleza kuwa

"Kwenye Tume ya Haki Jinai nilipendekeza Polisi wasiongozwe na wanasiasa. Inakuwaje Polisi waongozwe na Mkuu wa Mkoa au Mkuu wa Wilaya ambaye ameelezwa wajibu wake ni kuhakikisha CCM inashinda? Mimi ninajua hata Polisi wenyewe hawapendi kuongozwa na wanasiasa. Jeshi la Polisi liwe chombo huru kinachofanya kazi kwa weledi."
Your browser is not able to display this video.
 
Tumeshasema "NO REFORM NO ELECTION"

sasa mnalalamika nini wakati mmeingia wenyewe kwenye mfumo wa CCM.
 
Huyu muheshimiwa anahoji nini? Tuliposema no reforms yeye aliona ni upuuzi. Sasa wacha waingie kwenye uchaguzi halafu waibiwe kura ndio atagundua Chadema tunaona mpaka kesho kutwa.
 
Usiogope kubeba mimba ya CCM umeshakuba kuolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…