MJINI CHAI
JF-Expert Member
- Dec 12, 2010
- 2,202
- 1,229
- Thread starter
- #21
Mkuu nakuunga mkono......lakini swala la Chama changu CCM kumfuta kazi shuja huyu kutatugarimu..........Ni wakati sas umefika wa kuangalia sera zisizofaa tuachane nazo tunaonekana majuha mbele ya watu wanaotafakari mambo kubaki na mambo/sera zisizo na mashiko...............Tumelogwa..........? na aliyetuloga amekufa........?Mkuu MJINI CHAI huyu OTHMAN MASOUD NI MZALENDO NA SHUJAA , MPAKA SASA HUYU ANAMFUATIA MAREHEMU KARUME KWA USHUJAA .